Mwandishi wake hajulikani, lakini kufuatana na mapokeo ya Wayahudi, kitabu kiliandikwa takriban mwaka wa 400 KK, muda usio mrefu baada ya matukio kinayoyasimulia. Sababu za mwelekeo huo ni zifuatazo: Sherehe ya Purim ilikuwa husherehekewa kila mwaka wakati wa kuandikwa kwa kitabu, lakini Mfalme Ahasuero hutajwa kama mfalme aliyepita. Ukamilifu wa maelezo kuhusu mila na desturi za dola la Waajemi unadokeza kuwa kitabu kimeandikwa kabla dola hilo halijavamiwa na kuangamizwa na Iskanda Mkuu takriban mwaka wa 330 KK.
Kitabu cha Esta kiliandikwa na nani?
Ground Truth Answers: Mwandishi wake hajulikaniMwandishi wake hajulikaniMwandishi wake hajulikani
Prediction: